KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo Oktoba 25 dhidi ya KMC Uwanja wa CCM Kirumba mchezo wa Ligi Kuu Bara.
Tayari kikosi kimeshatia timu Uwanja wa Kirumba ikiwa ni kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kabla ya mchezo wa leo unaotarajiwa kuanza saa10:00.
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo Oktoba 25 dhidi ya KMC Uwanja wa CCM Kirumba mchezo wa Ligi Kuu Bara.