Beki wa kulia wa Simba Shomari Kapombe ameongeza mkataba wa miaka miwili kuichezea timu hiyo.
Makubalia hayo hayo yamefikiwa baina ya klabu ya mchezaji kuendelea kutoa huduma kwa miaka miwili ijayo.
Kapombe ambaye msimu uliomalizika hivi karibuni haukuwa mzuri kutokana na kusumbuliwa na majeruhi atakuwa mmoja wa wachezaji watakaoendelea na Simba msimu ujao.
Simba wameendelea kuwaongezea mkataba wachezaji wao ambao wameshamaliza na wanahitaji kuwa nao kwa sasa.
Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.