Home Uncategorized YANGA YAANZA KUIVUTIA KASI SIMBA MDOGOMDOGO

YANGA YAANZA KUIVUTIA KASI SIMBA MDOGOMDOGO

 


KIKOSI cha Yanga leo Oktoba 6 kimerejea kambini rasmi kwa ajili ya kujiandaa na mechi zake zinazofuata za Ligi Kuu Bara. 


Baada ya Oktoba 3 kutangaza rasmi kuachana na aliyekuwa Kocha Mkuu, Zlatko Krmpotic raia wa Serbia kwa kile walichoeleza kutokubali falsafa yake kikosi kipo chini ya Juma Mwambusi.


Mchezo huo wa mwisho kwa Krmpotic alishinda mabao 3-0 dhidi ya Coastal Union,  Uwanja wa Mkapa.


Mchezo wake unaofuata ni dhidi ya Simba, Oktoba 18, Uwanja wa Mkapa.

SOMA NA HII  TUWAACHE MKUDE, AJIBU WAFANYE YAO, TUELEKEZE MACHO CAIRO