Home Uncategorized MUONEKANO WA UZI MPYA WA KLABU YA SIMBA KWA AJILI YA MICHUANO...

MUONEKANO WA UZI MPYA WA KLABU YA SIMBA KWA AJILI YA MICHUANO YA KIMATAIFA

 



MUONEKANO wa jezi mpya za Klabu ya Simba kwa ajili ya michuano ya kimataifa.


Simba itaanza kusaka tiketi ya kufuzu hatua ya makundi kwa kucheza na Klabu ya Plateau United ya Nigeria Uwanja wa New Jos.


Mchezo wa marudio unatarajiwa kuchezwa kati ya Desemba 4-6.

SOMA NA HII  DAVID MOLINGA MTUPIAJI NAMBA MOJA YANGA ATOA YA MOYONI