Home Uncategorized RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO NOVEMBA 28

RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO NOVEMBA 28


 LEO Novemba 28 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kwa timu sita kushuka viwanja vitatu tofauti kusaka pointi tatu

Mambo yatakuwa namna hii:-


Mbeya City v Mtibwa Sugar,Uwanja wa Sokoine, Mbeya saa 8:00 mchana.

Yanga v JKT Tanzania, saa 10:00 Uwanja wa Mkapa.

Dodoma Jiji v Ihefu, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.

SOMA NA HII  SVEN AFUNGUKA KILICHOMFURAHISHA SIMBA