Home Uncategorized SIMBA YATAJA MASHINE YA KAZI YA AZAM FC ITAKAYOIMALIZA YANGA KESHO

SIMBA YATAJA MASHINE YA KAZI YA AZAM FC ITAKAYOIMALIZA YANGA KESHO


 HAJI Manara, Ofisa Habari wa Simba amesema kuwa kwenye mchezo wa kesho kati ya watani zao wa jadi Yanga dhidi ya Azam FC kiungo, Salum Abubakari,’Sure Boy’ atamtazama kwa ukaribu.


Yanga ikiwa nafasi ya pili ina kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Azam FC mchezo utakaoamua nani atakuwa nafasi ya kwanza kwa kuwa timu zote zina pointi 25 baada ya kucheza mechi 11.


Manara amesema:”Jumatano jicho langu litakuwa kwa Salum Abubakari, nina amini kwamba Hawatoki kwenye mchezo huo,” amesema.

SOMA NA HII  LIPULI: HATUNA MKWANJA ILA KOMBE TUNASEPA NALO