Home Uncategorized TIMU YA TAIFA YA WANAWAKE U 17 YAIBUKA NA USHINDI WA MABAO...

TIMU YA TAIFA YA WANAWAKE U 17 YAIBUKA NA USHINDI WA MABAO 10-1 DHIDI YA ZIMBABWE

 


SHEHAT Mohame ameibuka kuwa mchezaji bora leo Novemba 10 wakati timu ya Taifa ya Wanawake U 17 ikishinda mabao 10-1 dhidi ya Zimbabwe kwenye mashindano ya Cosafa nchini Afrika Kusini.

Mohame alitupia mabao mawili dakika ya 18 na 89 huku mengine yakifungwa na Protasia Kipaga dakika ya 1,Koku Kipanga dakika ya 11, Irene Kisisa dakika 13, Ester Mabaza dakika ya 32.


Zawadi Athuman dakika ya 55, Asha Masaka naye alitupia mawili dakika ya 71 na 82, Rudo Machadu alitupia dakika ya 79. 

SOMA NA HII  NYOTA WA YANGA AIBUKIA ZESCO UNITED