Home Uncategorized JACOB MASAWE YEYE NA NYAVU TU

JACOB MASAWE YEYE NA NYAVU TU


Jacob Masawe nahodha wa Gwambina FC amekuwa wenye ubora wake kwa kucheka na nyavu.

Msimu huu kabla ya Ligi Daraja la Kwanza kusimamishwa alikuwa ametupia jumla ya mabao 12.

Mabao 10 Massawe alifunga kwenye Ligi Daraja la Kwanza ambapo alicheza jumla ya mechi 17 na mabao mawili alifunga kwenye Kombe la Shirikisho Azam  FC. Nyota huyo aliwahi kuzichezea Stand United, frican Lyon na Ndanda FC.



SOMA NA HII  Wanyama; ‘Wanasema Kenya na Tanzania ndio underdogs!, tumebadilika