Home Uncategorized WANIGERIA WAIKAZIA SIMBA, FIGISU MWANZO MWISHO

WANIGERIA WAIKAZIA SIMBA, FIGISU MWANZO MWISHO

 


“Plateau Utd wamekataa kuruhusu mechi kurushwa mubashara. Licha ya juhudi zetu zote tukishirikiana na mshiriki wetu AZAM TV, mwenyeji wetu amekataa kushirikiana kwenye hilo. Nichukue nafasi hii kuomba radhi kwa wapenzi wetu wote ulimwenguni ambao walitaka kuangalia mechi hii. Mpaka muda huu, tunapigania hii mechi iweze kuoneshwa mubashara (live).” 


— Barbara Gonzalez

Mtendaji Mkuu wa Simba.

SOMA NA HII  BIASHARA UNITED NA YANGA ZAPIGANA MIKWARA