Home Uncategorized ALIYEWAPA PENALTI SIMBA,JINA LAKE LATUA FIFA

ALIYEWAPA PENALTI SIMBA,JINA LAKE LATUA FIFA

 


FIFA (Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu) imetoa benji kwa waamuzi 17 wa Tanzania kwa mwaka 2021.

Miongoni mwa marefa ambao wamepewa beji na FIFA ni pamoja na Martin Saanya, Hery Sasii ambaye amekuwa gumzo kutokana na penalti tata kwenye mchezo wa Simba v KMC.


Mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Simba ilishinda bao 1-0 lililofungwa na Meddie Kagere baada ya mwamuzi wa kati kuamua ipigwe penalti kwa kudai kwamba wachezaji wa KMC waliunawa mpira ndani ya eneo la 18.


Taarifa iliyotolewa na TFF imeeleza namna hii:-


SOMA NA HII  SIMBA SC KAZI IMEANZA SASA