Home Uncategorized IMEFICHUKA..NIYONZIMA AONGEZA MKATABA YANGA MIEZI SITA..!!

IMEFICHUKA..NIYONZIMA AONGEZA MKATABA YANGA MIEZI SITA..!!

 

Hersi Said amefichua Haruna Niyonzima aliongezewa mkataba wa miezi sita tu; “Ni maelekezo ya kocha, pia mkataba wake umemalizika huku Ligi ikiwa haijaisha ndio maana tumemuongezea mpaka mwisho wa msimu.

“Bado kuna nafasi ya kufanya mazungumzo baada ya mkataba huu kumalizika na hata yeye mwenyewe anajua na sisi tunaelewa hilo.”

Niyonzima tangu alivyokuja kocha Kaze hajawa chaguo la kwanza katika kikosi chake huku habari zikidai kwamba Kocha huyo amempa changamoto mchezaji huyo ili ajitume na kurejesha morali yake na kuisaidia Yanga kuelekea kwenye mbio za ubingwa.

Credit- Mwanaspoti

SOMA NA HII  BIGIRIMANA MTUPIAJI ANAYEZICHANYA SIMBA NA YANGA ANAPIGA KUTWA MARA TATU