Home Uncategorized MABAO 9 YAKUSANYWA LEO,MWENDO WA TATUTATU NDANI YA LIGI KUU BARA

MABAO 9 YAKUSANYWA LEO,MWENDO WA TATUTATU NDANI YA LIGI KUU BARA


 Mabao 9 yamekusanywa leo Desemba 18 Kwenye mechi tatu za mwanzo ndani Ligi Kuu Bara. 


Mchezo mmoja umekamilika kwa sare ya kufungana bao 1-1 huku mechi mbili timu mbili zikisepa na pointi tatu na mabao matatu.


Ilikuwa namna hii:-


Mwadui 1-1 Polisi Tanzania, Uwanja wa Mwadui Complex. 


Kagera Sugar 3-1 Coastal Union, Uwanja wa Kaitaba.


Biashara United 3-0 Mbeya City,  Uwanja wa Karume. 


Mchezo unaofuata usiku saa 1:00 ni Azam FC  v Ruvu Shooting,  Uwanja wa Azam Complex.

SOMA NA HII  SHINDA BAJAJ MPYA KWA JAMVI LA JERO TU MERIDIAN BET