Home Uncategorized MSHAMBULIAJI GWAMBINA AWEKA REKODI YAKE BONGO

MSHAMBULIAJI GWAMBINA AWEKA REKODI YAKE BONGO

 


Paul Nonga, nyota wa Gwambina FC anashikilia rekodi ya kuwa mchezaji aliyefunga bao la mapema zaidi ndani ya Ligi Kuu Bara msimi wa 2020/21.


Alifunga bao hilo sekunde ya 33 kwa pasi ya Abdalah Kibadeni wakati timu yake ikilazimisha sare ya kufungana bao 1-1 na Tanzania Prisons,  Uwanja wa Gwambina Complex.

SOMA NA HII  EYMAEL NYOTA WAKE WAWILI WAMPASUA KICHWA