Home Uncategorized NYOTA WA SIMBA AINGIA ANGA ZA IHEFU NA NAMUNGO

NYOTA WA SIMBA AINGIA ANGA ZA IHEFU NA NAMUNGO


KIUNGO mshambuliaji ndani ya Klabu ya Simba, Miraj Athuman huenda akaibukia ndani ya Namungo FC kwenye usajili wa dirisha dogo.


Nyota huyo ambaye msimu uliopita alitupia mabao saba na pasi moja ya bao msimu huu amekuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu.


Habari zinaeleza kuwa miongoni wa timu ambazo zinahitaji huduma yake ni pamoja na Namungo FC na Ihefu FC kwa mkopo.

SOMA NA HII  HAYA NDIYO MAKOMBE 40 YA NYOTA WA TIMU YA TAIFA YA BRAZIL ALVES