Home Uncategorized ZILIZOTINGA HATUA YA MAKUNDI LIGI YA MABINGWA AFRIKA

ZILIZOTINGA HATUA YA MAKUNDI LIGI YA MABINGWA AFRIKA

 


Hii hapa miamba iliyotinga hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Barani Afrika 20/21

1.Zamalek (Misri) 

2.Mamelodi Sundowns (Afrika Kusini)

3.Kaizer Chiefs (Afrika Kusini)

4.Al Ahly (Misri) 

5.Teungueth FC (Senegal)

6.CR Belouizdad (Algeria) 

7.TP Mazembe (DR Congo)

8.MC Alger (Algeria)

9.Espérance Tunis (Tunisia) 

10.Simba SC (Tanzania )

11.Al Merrikh SC (Sudani)

12.As Vita Club (DR Congo)

13.Al Hilal Cl (Sudani)

14.Wydad AC (Morocco)

15 .Horoya AC (Guinea)

16.Petro Atletico (Angola)

SOMA NA HII  Timu za Ligi kuu msimu 2019/2020 hizi hapa