Uncategorized
KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA NAMUNGO FC
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo Januari 8 dhidi ya Namungo FC kwenye mchezo wa pili wa Kombe la Mapinduzi, Uwanja wa Amaan.
Huu ni mchezo wa pili kwa Yanga baada ya kulazimisha sare ya bila kufungana mbele ya Jamhuri na ni wa kwanza kwa Namungo FC.

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.