Home Uncategorized KOMBE LA MAPINDUZI:SIMBA 1-0 NAMUNGO

KOMBE LA MAPINDUZI:SIMBA 1-0 NAMUNGO

 


Dakika ya 58 Nurdin Barola a aokoa hatari langoni mwake

Dakika ya 56 Kakolanya anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 54 Blaise anaingia kuchukua nafasi ya Kipagwile

Dakika ya 48 Kwizera anapeleka mashambulizi Simba

Kipindi cha pili kimeanza 

HATUA ya nusu fainali ya pili

Uwanja wa Amaan


Simba 1-0 Namungo

Dakika ya 26 Kagere anacheza faulo

Dakika ya 25 Humud anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea faulo Kahata

Dakika ya 22 Mzamiru anachezewa faulo

Dakika ya 14 Sey anaonyeshwa kadi ya njano

Dakika ya 12 Sabilo Off Target 

Goal Kagere dk 6

Uwanja wa Amaan

SOMA NA HII  SIBOMANA WA YANGA ATAJA KILICHOMFANYA AKOSE PENALTI JANA KIMATAIFA