Home Uncategorized LUKAKU AKISEPA TU UNITED HAWA HAPA KUVAA VIATU VYAKE

LUKAKU AKISEPA TU UNITED HAWA HAPA KUVAA VIATU VYAKE

OLE Gunnar Solskjaer, Meneja wa Manchester United hana shaka endapo dili la Romelu Lukaku kujiunga na Juventus litatimia kwa ajili ya msimu ujao.

Meneja huyo anajivunia uwepo wa nyota kama Marcus Rashford, Anthony Martial na kinda Mason Greenwood ambao anaamini ni mbadala sahihi wa Lukaku.

Pia anamtaka Dybala ndani ya kikosi chake kwa kuwa anaamini ana aina ya mtindo anaoupenda.

Maurizio Sarri, Meneja wa Juventus anahitaji kuwa na Lukaku ili ampe jezi namba 9, mshahara wake unatajwa kuwa pauni milioni 8.2 kwa wiki pamoja na bonasi.

SOMA NA HII  CHELSEA YABANWA NA WOLVES, KOCHA LAMPARD AWAKA