UONGOZI wa Yanga umemsimamisha kazi Kaimu Katibu Mkuu ambaye ni Mkurugenzi wa Sheria na Wanachama, wakili msomi Simon Patrick.
Taarifa iliyotolewa imeeleza kuwa maamuzi hayo yamekuja baada ya kukaa kikao cha dharula Novemba 11.