Home Habari za michezo AHMED ALLY ATUPA JIWE GIZANI BAADA YA SUPU YA YANGA JANGWANI

AHMED ALLY ATUPA JIWE GIZANI BAADA YA SUPU YA YANGA JANGWANI

Habari za Simba leo

Baada ya Mashabiki wa Simba kutangazwa kuwa mashabiki bora wa AFL 2023, Afisa habari wa klabu ya Simba Ahmed Ally amesema haya.

“Tumeshinda tuzo ya mashabiki bora wa Africa”

“Hongereni sana wana Simba mnastahili heshima hii, mmeonesha tofauti ya mashabiki wa mpira na wanywa Supu za vibudu”

“Sifa hiii ya Ubora tunapaswa kuilinda na kujivunia maana sio kila mtu anaweza bora. Kuilinda sifa hii ya ubora ni pamoja na kuwa wavumilivu pindi timu inapopitia nyakati ngumu”.

SOMA NA HII  AL AHLY ATAKUBALI KUENDELEZA UTEJA DHIDI YA SIMBA LEO AFL