Home Uncategorized LIGI YA MABINGWA: SIMBA 1-0 FC PLATINUM

LIGI YA MABINGWA: SIMBA 1-0 FC PLATINUM

 


UWANJA wa Mkapa

Kipindi cha kwanza

Ligi ya Mabingwa Afrika 

Simba 1-0 FC Platinum

Dakika ya 39 Nyoni Gooal 

Dakika ya 32 Wachezaji wa FC Platinum wanaonekana kugombea maamuzi ya penalti

Dakika ya 31 Luis anachezewa faulo ndani ya 18 Simba wanapata penalti

Dakika ya 30 Luis anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 30 Rahaman anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea faulo Chama

Dakika ya 27 Luis anapiga kona inaokolewa na Tizayi anaanguka chini

Dakika 26 Luis anapiga kona ya Kwanza inaokolewa

Dakika ya 24 Chama anachezewa faulo nje ya 18 wanaanzisha mashambulizi 

Dakika ya 23 Luis anachezewa faulo ndani ya 18 mwamuzi anapeta

Dakika ya 21 Manula anaokoa faulo ya FC Platinum 

Dakika ya 19 Mugalu anaotea

Dakika ya 18 Percent Chikwende anafanya jaribio linakwenda nje ya lango 

Dakika ya 17 FC Platinum wameweka ukuta wa kutosha unaipa tabu Simba kupenya

Dakika ya 15 Nyoni anapeleka kwa Chama,Kapombe,Ndemla,Nyoni

Dakika ya 12 FC Platinum wanapata kona

Dakika ya 11 Chama anapiga faulo kwa Ndemla anapiga shuti linatajwa na kipa  Tizayi

Dakika ya 10 FC Platinum wanaonekana wakipoteza muda kwa kukaa chini kimtindo

Dakika ya 9 Chikwende anatafuta njia anazuiwa na Onyango 

Dakika ya 8 lips Tizayi anaanza 

Dakika ya 6 Luis na kipa wa FC Platinum wanapewa huduma ya kwanza

Dakika ya 5 Kapombe anacheza faulo

Dakika ya 4 Percent Chikwende anacheza faulo 


Dakika ya 2 Bwalya anapokwa mpira

SOMA NA HII  JANJA YA MAXI KUMBE IKO HAPA