Home Uncategorized MWENYEKITI WA YANGA AFUNGUKA BAADA YA KUTUA BANDARINI DAR, YANGA KUTUA KESHO

MWENYEKITI WA YANGA AFUNGUKA BAADA YA KUTUA BANDARINI DAR, YANGA KUTUA KESHO

 

 Mwenyekiti wa yanga mshindo Msolla amefunguka baada ya timu yake kuchukua Ubingwa wa Mapinduzi kwa kuwafunga watani wao Simba jana Januari 13, 2021 katika Uwanja wa Amani Zanzibar.


Amesema Kikosi cha Yanga kitatua kesho mchana kwa boti Maalum na wataelekea moja kwa moja kambini.

SOMA NA HII  OLE GUNNER AYASIFU MABAO YA WACHEZAJI WAKE