Home Simba SC ORODHA YA NYOTA 17 WA SIMBA AMBAO WAMEANZA KAZI NA MFARANSA

ORODHA YA NYOTA 17 WA SIMBA AMBAO WAMEANZA KAZI NA MFARANSA


BERNARD Morrisonn kiungo mshambuliaji wa Simba ni miongoni mwa nyota ambao wameanza kufanya kazi na mrithi wa mikoba ya Sven Vandenbroeck, Didier Gomes.


Raia huyo wa Ufaransa tayari ameshaanza kazi ndani ya Uwanja wa Mo Simba Arena kwa ajili ya kukisuka kikosi hicho kwa ajili ya kuelekea michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa Simba imetinga hatua ya makundi.

Nyota wengine ambao wameanza kazi na kocha huyo ambaye amesaini dili la miaka miwili ni pamoja na:- 

Thadeo Lwanga 

Rally Bwalya

David Kameta

Perfect Chikwende 

Miraj Athuman 

Ibrahim Ajibu 

Mzamiru Yassin 

Kened Juma 

Gadiel Michael 

Chris Mugalu 

Ally Salim 

Mohamed Hussein 

Junior Lokosa 

Francis Kahata

Hassan Dilunga

Beno Kakolanya 

SOMA NA HII  KAMA HUU NDIO 'UBABU' WA ONYANGO, BASI SIMBA SC IMELAMBA DUME..!!