Home Simba SC HAWA HAPA WACHEZAJI WA SIMBA NA BENCHI LA UFUNDI MJENGONI,DODOMA

HAWA HAPA WACHEZAJI WA SIMBA NA BENCHI LA UFUNDI MJENGONI,DODOMA

 


BAADA ya kikosi cha Simba kutinga makao makuu ya nchi, Dodoma kimepata nafasi ya kuingia ndani ya Bunge la Tanzania. 

Hawa ni baadhi ya wachezaji ambao wameweza kuingia bungeni leo Februari 3.

Miongoni mwa wachezaji waliopo bungeni ni pamoja na Gadiel Michael, Ibrahim Ajibu,Said Ndemla,Shomari Kapombe,Clatous Chama,Mohamed Hussein. 

Kenedy Juma, Hassan Dilunga, Ibrahim Ame,Beno Kakolanya, Aishi Manula.

Benchi la ufundi ni pamoja na Kocha Mkuu, Didier Gomes kocha msaidizi, Seleman Matola.

Mratibu wa Simba Abbas Seleman,Ofisa Habari wa Simba Haji Manara. 


SOMA NA HII  WAKATI WAKITUA MOROCCO..TYR AGAIN AIBUKA NA HILI JIPYA KUHUSU MKUDE...PABLO NA BARBARA WATOA KAULI...