Home Uncategorized GWAMBINA FC KWENYE MTIHANI MWINGINE WA KUSAKA TIKETI YA KUPANDA LIGI KUU...

GWAMBINA FC KWENYE MTIHANI MWINGINE WA KUSAKA TIKETI YA KUPANDA LIGI KUU BARA LEO

BAADA ya Gwambina FC kukwama kupanda Ligi Kuu Bara kwenye mchezo wake uliopita dhidi ya Transit Camp Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam leo ina kazi nyingine mbele ya Pamba FC.

Ikiwa nafasi ya Kwanza Kwenye kundi B na pointi zake 41 iwapo itashinda mchezo wa leo ikapanda Ligi Kuu Bara jumla ikipoteza inabidi isubiri mpaka mchezo wake mwingine kwani itabakiwa na mechi mbili .
mkononi.

Mechi hiyo itapigwa majira ya saa 10:00 jioni Uwanja wa CCM Kirumba,Mwanza.

SOMA NA HII  SIMBA WAAMBIWA WAACHE MANENOMANENO