Home Simba SC RASMI: KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA AS VITA

RASMI: KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA AS VITA

 KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo Februari 12, dhidi ya AS Vita ya Congo mchezo wa kimataifa wa Ligi ya Mabingwa hatua ya makundi.

Didier Gome ameanza na mshambuliaji mmoja mbele ambaye ni Chris Mugalu na Meddie Kagere akiwa benchi kuusoma mchezo wa leo ambao utaanza kuchezwa majira ya saa 4:00 usiku.


SOMA NA HII  KISA PAPE SAKHO...LUIS MIQUISSONE ATAJWA TENA SIMBA....TATIZO LAKE LAWEKWA WAZI...