Home Ligi Kuu RATIBA YA LIGI KUU BARA BONGO LEO

RATIBA YA LIGI KUU BARA BONGO LEO



 LEO Februari 17 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ambapo timu sita zitakuwa kwenye viwanja vitatu tofauti kusaka pointi tatu. 


Huu ni mzunguko wa pili ambao umekuwa na ushindani mkubwa ndani ya uwanja. 

Dodoma Jiji iliyo nafasi ya 8 na pointi 25 v Coastal Union,iliyo nafasi ya 11 na pointi 23, Uwanja wa Jamhuri,Dodoma.

Mtibwa Sugar iliyo nafasi ya 12 na pointi 22 v Ihefu FC, iliyo nafasi ya 16 na pointi 16,Uwanja wa Jamhuri Morogoro. 

Yanga iliyo nafasi ya kwanza na pointi 45 v Kagera Sugar, iliyo nafasi ya 10, Uwanja wa Mkapa.

SOMA NA HII  MSIMAMO WA LIGI KUU BARA