Home Yanga SC HILI HAPA JESHI LA YANGA VS COASTAL UNION LEO

HILI HAPA JESHI LA YANGA VS COASTAL UNION LEO


VINARA wa msimamo wa Ligi Kuu Bara, klabu ya Yanga itaingia uwanjani katika dimba la Mkwakwani Tanga majira ya saa 10 jioni ya leo, kuwavaa Wagosi wa Kaya klabu ya Coastal Union.

Tayari Yanga imeweka wazi nyota watakaoanza ndani ya kikosi hicho, ambapo mshambuliaji wao Mbukinabe, Yacouba Sogne anatarajiwa kucheza kwa mara ya kwanza mchezo wa Ligi Kuu tangu mwaka huu uanze.

SOMA NA HII  KISA AZIZI KI ALLY KAMWE AWAJIA JUU WACHAMBUZI