Home Yanga SC EXCLUSIVE: KOCHA WA VIUNGO WA YANGA ATAJA NAMNA ATAKAVYOFANYA KAZI

EXCLUSIVE: KOCHA WA VIUNGO WA YANGA ATAJA NAMNA ATAKAVYOFANYA KAZI

BAADA ya kutua ardhi ya Tanzania, kocha wa viungo wa timu ya Yanga Jawab Sabri, raia wa Morocco amesema kuwa anafurahi kuwa hapa na anaamini kwamba atafanya kazi kwa ushirikiano mkubwa na wale ambao atawakuta

 

SOMA NA HII  MAYELE AFICHUA ALIVYOPIGA SIMU KUOMBA KUJIUNGA YANGA...AFUNGUKA STAILI YAKE KUTUMIKA KANISANI...