Home Azam FC VIDEO: DUBE: BAO LANGU MBELE YA YANGA NI KWA AJILI YA TIMU

VIDEO: DUBE: BAO LANGU MBELE YA YANGA NI KWA AJILI YA TIMU


MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Prince Dube amesema kuwa bao lake ambalo alifunga mbele ya Yanga ni maalumu kwa ajili ya timu yake, pia ameongeza kwa kusema kwamba yeye ni mchezaji wa Azam kwa sasa hawezi kufikira kuhusu timu nyingine. 


Kwa upande wa ligi ya Tanzania amesema kuwa anawashukuru kwa sapoti ambayo wanampa jambo linalompa furaha. Dube kwa sasa ni namba moja kwenye utupiaji akiwa amefunga jumla ya mabao 12 ndani ya ligi.

 

SOMA NA HII  SAKATA LA WACHEZAJI AGGREY MORRIS, SURE BOY KUSIMAMISHWA...TFF WAISHUKIA AZAM FC...