Home Azam FC ZAKAZAKAZI ATUPA DONGO KWA YANGA, SIMBA NAMNA HII

ZAKAZAKAZI ATUPA DONGO KWA YANGA, SIMBA NAMNA HII

OFISA Habari wa Azam FC amesema kuwa yeye mmoja ni sawa na Bumbuli, Antonio Nugaz ukichangaya na Dismas Ten unampata Zaka mmoja kutokana na nafasi ambayo yeye anaifanyia kazi yupo peke yake na pale ambapo wanakwama huwa anakuja kuwasaidia Ten.

 
Ameongeza kuwa ikiwa itakuwa ni Zaka Zakazi basi utachanganya wengine wote mpaka kocha wao, pia kuhusu jambo lao ameweka wazi namna hii. Amesema kuwa sababu kubwa ya kuwafunga ni nguvu ya Mungu

 

SOMA NA HII  AZAM FC ITAWAFIKIA MASHABIKI WAO KIMATAIFA KWA MTIDO HUU