Home Uncategorized VIDEO: KIWANJA CHA SIMBA CHA BUNJU KINADAIWA KODI, WAPEWA SIKU 14

VIDEO: KIWANJA CHA SIMBA CHA BUNJU KINADAIWA KODI, WAPEWA SIKU 14

MAHAKAMA imetoa oda kwa Klabu ya Simba kuweza kulipa kodi ya ardhi ndani ya muda wa siku 14 ikiwa watashindwa kufanya hivyo oda imetolewa kwamba mali hiyo ambayo ni kiwanja cha Biunju kinaweza kuuzwa.

 

SOMA NA HII  RONALDINHO AMTAJA ANAYEMKUBALI KATI YA MESSI NA CR 7