Home Ligi Kuu VIDEO: TAZAMA BAO LA MOHAMED HUSSEIN LILILOISHUSHA YANGA NAMBA MOJA

VIDEO: TAZAMA BAO LA MOHAMED HUSSEIN LILILOISHUSHA YANGA NAMBA MOJA


BEKI wa Simba, Mohamed Hussein wakati ubao wa Uwanja wa Gwambina Complex ukisoma Gwambina 0-1 Simba alifunga bao akiwa nje ya 18 lililoipa ushindi Simba na kuifanya ikae kileleni kwa mara ya kwanza kwa msimu wa 2020/21 na kuwashusha watani zao wa jadi Yanga, hili hapa ni bao lenyewe

 

SOMA NA HII  VPL: JKT TANZANIA 0-2 YANGA