Simba SC

ONYANGO: AWAOMBA MASHABIKI MBELE YA YANGA

admin May 2, 2021 4:47 am


JOASH Onyango, beki kisiki wa Simba amesema kuwa kipindi cha kwanza kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Kagera Sugar walikuwa chini ila kipindi cha pili waliweza kujipanga jambo lililofanya wapate matokeo. Kuhusu Kaizer Chief amesema bado kuna mechi za kucheza, amwewaomba mashabiki wajitokeze kwa wingi Mei 8 watakapomenyana na Yanga.

 

ORODHA YA NYOTA SITA YANGA AMBAO MIKATABA YAO INAELEZWA KUFIKA UKINGONI VIDEO: KAGERA SUGAR WATAJA SABABU YA KUFUNGWA,

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply