Home epl BRUNO FERNANDES AELEZA HALI ZA WACHEZAJ ZILIVYOKUWA BAADA YA KUPIGWA 4G

BRUNO FERNANDES AELEZA HALI ZA WACHEZAJ ZILIVYOKUWA BAADA YA KUPIGWA 4G


BRUNO Fernandes,  nahodha wa Manchester United amesema kuwa kila mchezaji alipoteza furaha baada ya kichapo mbele ya Liverpool katika mchezo wa Ligi Kuu England. 


Ikiwa Uwanja wa Old Trafford ubao ulisoma Manchester United 2-4 Liverpool na kuwafanya waache pointi tatu zikisepa na wapinzani wao.


Fernandes amesema kuwa walijipanga kupata ushindi ila mambo yakawa magumu kwao.


” Ndani ya vyumba vya kubadilishia nguo kila mchezaji hakuwa na furaha na hatujafurahi kweli kufungwa ila hakuna namna.


“Wametumia makosa yetu na tumeona makosa yetu tutajifunza kupitia makosa,” .

SOMA NA HII  CITY YAMPIGA MTU MKONO