Home CAF KAIZER CHIEF WALIVYOTUA DAR KUCHEZA NA SIMBA KESHO

KAIZER CHIEF WALIVYOTUA DAR KUCHEZA NA SIMBA KESHO

 

KIKOSI cha Kaizer Chiefs kimewasili Mei 20, 2021 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kwaajili ya mchezo wao wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Simba hatua ya Robo Fainali. 

SOMA NA HII  AS VITA YAIPIGA MKWARA SIMBA, YAZITAKA POINTI TATU KWA MKAPA