Home Yanga SC KOMBE LA SHIRIKISHO: MWADUI 0-2 YANGA

KOMBE LA SHIRIKISHO: MWADUI 0-2 YANGA

Dakika 2 zinaongezwa
Ngoma ipo live pia Azam Tv
Dakika ya 45 Kibwana Shomari anamwaga majalo ndani ya Mwadui, linaokolewa na Mbissa
Dakika ya 44 Wallace Kiango anafanya jaribio akiwa ndani ya 18 linaokolewa na mikono ya Shikalo
Dakika ya 43 Yacouba anafanya jaribio kwa mpira wa juu unaokolewa na Mwadui
Dakika ya 42 Salim Aziz wa Mwadui FC anapiga shuti kuelekea Yanga linakwenda nje ya lango hilo
Dakika ya 41 Zawad Mauya anapeleka majalo mbele
Dakika ya 39, Rosha Rashid anakosa utulivu na kupaisha mpira huo mbele ya Shikalo
Dakika ya 34 Fei Toto anapiga kona ya tatu hiyo nayo inaokolewa na Mwadui FC
Dakika ya 31 Fei Toto anapiga kona ya pili kwa Yangainapigwa kichwa huru na Nchimbi kinakwenda nje ya lango

Dakika ya 30 Mwadui wanaanza kupeleka mashambulizi kwa Shikalo
Dakika ya 24 Goool Kaseke baada ya kipa Mbissa kufanya makosa ndani ya 18

Dakika ya 23 Fei Toto anapiga kichwa huru ndani ya 18 kinakwenda nje ya lango
Mwadui 0-0 Yanga
Uwanja wa Kambarage

Dakika ya 20 Mbissa anarejea mchezoni

Dakika ya 19, Mbissa anaokoa mpira uliopigwa na Fei Toto akiwa ndani ya 18, anapewa huduma ya kwanza

Dakika ya 18 Kiango anatoa mpira nje.

Dakika ya 17 Kibwana Shomari anamwaga majalo yanakutana na mikono ya Mbissa.

Dakika ya 15 Feisal anapiga kona ya kwanza Mwamnyeto anapiga shuti kubwa linakwenda juu ya lango

Dakika ya 15 timu zote hazijafungana huku Yanga wakionekana kukosa umakini katika umaliziaji sawa na Mwadui FC

Dakika ya 14 Deus Kaseke anapokwa mpira, Nchimbi anaondoka kwa kasi kulifuata lango la Mbissa ila anazidiwa na spidi ya mpira

Dakika ya 13Wallace Kiango anapeleka kwa Luccian 

Dakika ya 12 Hashim Mohamed anatengeneza nafasi nzuri kwa wachezaji wa Mwadui ila wanakosa utulivu ndani ya 18

Dakika ya 11 Mwadui FC wanapeleka mashambulizi kwa Shikalo 

Dakika ya 10 Deus Kaseke anafanya jaribio zuri, Mbissa anatema mpira unakutana na Yacouba ila anakwama kuuzamisha nyavuni.

Dakika ya 9 kipa namba moja wa Mwadui FC, Mbissa anaanzisha mashambulizi kuelekea lango la Shikalo

Dakika ya 8 Bakari Mwamnyeto anampa Job na kupeleka kwa Kibwana kupeleka mashambulizi Mwadui

Dakika ya 7 Kaseke Deus anapiga pasi ndefu kuelekea eneo la Mwadui FC ila inakuwa haina faida kwao 

Dakika ya 6 Wallace Kiango anapeleka kwa Luccian kumfuata Shikalo
Dakika ya 5 Kibwana Shomari anapeleka mashambulizi kwa Mbissa akiwa eneo la 18 anapiga mpira unakwenda juu kabisa ya lango.
Dakika ya 3 Kaseke anafunga bao kwa pasi ya Fei ila tayari alikuwa ameotea kwa mujibu wa mshika kibendera.
Dakika ya 2 Tonombe anafanya jaribio linaokolewa na Mbissa
Dakika ya 1 Yacouba anafanya jaribio halileti matunda kwa lango la Mbissa.
Kipindi cha kwanza
Uwanja wa Kambarage
Mwadui 0-0 Yanga 

Uwanja wa Kambarage, leo Mei 25 ni mchezo wa Kombe la Shirikisho ikiwa ni hatua ya robo fainali kati ya Mwadui FC v Yanga.

SOMA NA HII  YANGA: TUNA ASILIMIA KUBWA YA KUSHINDA MBELE YA SIMBA

Kikosi cha Yanga tayari kipo kamili kama ilivyo Mwadui FC ambayo inahitaji kusaka ushindi leo.

Ni Saido Ntibanzokiza, Metacha Mnata ambao walikuwa kwenye mchezo uliopita dhidi ya JKT Tanzania leo hawapo kikosi cha kwanza.