Home Simba SC LIGI YA MABINGWA AFRIKA: SIMBA 1-0 KAIZER CHIEFS

LIGI YA MABINGWA AFRIKA: SIMBA 1-0 KAIZER CHIEFS


Dakika 45 zimekamilika, zimeongezwa dakika 6
Dakika ya 42 Morrison anatoa pasi hafifu inaishia mikononi mwa kipa wa Kaizer Chiefs
Dakika ya 40, Bocco na Mugalu wanakosa bao ndani ya 18
Dakika ya 38 Onyango anatoka anaingia Kened Juma
Dakika ya 37 Morrison anachezewa faulo nje ya 18
Dakika ya 34, Lwanga anatoka anaingia Nyoni
Dakika ya 30, Onyango na Wawa wanapewa huduma ya kwanza baada ya kugongana wakati wakiokoa mpira
Uwanja wa Mkapa
Ligi ya Mabingwa Afrika
Kipindi cha kwanza
Agregate: Kaizer Chiefs 4-1 Simba
Simba 1-0 Kaizer Chiefs
Dakika ya 28 Chama anakosa nafasi inakuwa kona anapiga kona ya tatu Chama, haileti matunda baada ya Onyango kuokoa




 


Kipindi cha kwanza
Uwanja wa Mkapa
Agregate: Kaizer Chiefs 4-1 Simba

Dakika ya 24 Morrison anaingia anatoka Mzamiru Yassin
Dakika ya 23, Bocoo Gooool pasi ya Chama
Dakika ya 21 Mugalu anaotea kwa mpira wa pasi ya Bocco
Dakika ya 19 Manyana amanpewa huduma ya kwanza
 Dakika ya 17, Onyango anaokoa mpira miguuni mwa Wanyama, inakuwa kona
Dakika ya 16 Lwanga anaonyeshwa kadi ya njano, Mugalu anafanya jaribio halileti matunda, inakuwa ya kwanza kwa wachezaji wa Simba
Dakika ya 14 Samir Kurkonovic wa Kaizer Chiefs anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 14 Kapombe anafanya jaribio linaokolewa na kipa wa Kaizer Chiefs 
Dakika ya 12 Kaizer Chiefs wanapata kona, makosa yaleyale ya mabeki wa Simba wanarudia na kumacha Wanyama anaruka na kupiga mpira kwa hewa 
Dakika ya 11, Kaizer Chiefs wanaanzisha mashambulizi
Dakika ya 9 Lwanga anamchezea faulo Castro David anapewa huduma ya kwanza huyu ni mzaliwa wa Columbia 
Dakika ya 9 Mugalu anapeleka mashambulizi Kaizer Chiefs
Dakika ya 8 Eric Mathoho anachezewa faulo na Bocco
Dakika ya 8 Kaizer Chiefs wanafanya jaribio linakwenda nje ya lango
Dakika ya 7 Luis anapiga shuti linakwenda nje ya lango
Dakika ya 6 Manula anaokoa hatari langoni mwake
Dakika ya 5 Kaizer Chiefs wanapata faulo inapigwa kwenda lango la Manula
Dakika ya 4 Chama anapiga kona ya pili inaokolewa na kipa wa Kaizer Chiefs
Dakika ya 4 Mzamiru anapiga shuti linakwenda nje ya lango
Dakika ya 3 Luis anaotea
Dakika ya 2 Kapombe anamwaga majalo yanaokolewa
Dakika  ya 1 Simba wanapata kona inapigwa na Chama

Simba 0-0 Kaizer Chiefs
Kikosi cha Simba na Kaizer Chiefs tayari kimeshawasili ndani ya Uwanja wa Mkapa kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika unaotarajia kuanza saa 10:00 jioni.

SOMA NA HII  GOMES ANAAMINI WAFUNGAJI WAKE WATAMALIZA NAFASI YA KWANZA KWA UTUPIAJI

Simba chini ya Kocha Mkuu, Didier Gomes imani yao ni kuweza kupindua matokeo kwa kuwa mchezo wa kwanza ubao wa  FNB ulisoma, Kaizer Chiefs 4-0 Simba hivyo kazi ni moja kwa Simba kupanda mlima wa kusaka ushindi wa mabao 5-0 ili kutinga hatua ya nusu fainali.

Mashabiki wa Simba na Watanzania wanaomba dua ili Simba ipate ushindi sawa na wale wa Kaizer Chiefs