Home Ligi Kuu LIVE: NAMUNGO 0-0 YANGA

LIVE: NAMUNGO 0-0 YANGA


Kipindi cha kwanza


Uwanja wa Majaliwa


Namungo FC 0-0 Yanga

Dakika ya 36 Saido anachezewa faulo na Jaffary 

Dakika ya 33 Kibwana anapeleka mashambulizi kwa Nahimana 

Dakika ya 30 mapumziko mafupi kwa ajili ya kupooza mwili joto na mwamuzi wa kati ni Hance Mabena

Dakika ya 27 Yacouba anachezewa faulo nje kidogo ya 18

Dakika ya 23 Fei anapiga shuti linakwenda nje ya lango

Dakika ya 22 Saido Ntibanzokiza anapiga kona haileti matunda

Dakika ya 31Kibwana anachezewa faulo na Lusajo

Dakika ya 18 Sarpong anachezewa faulo na Steven Duah

Dakika ya 15 Nahimana anaokoa kichwa cha Mauya

Dakika ya 13 Jafary Mohamed anaonyeshwa kadi ya njano 

Dakika ya 10 Yacouba anaotea

Dakika ya 8 Hashim Manyanya anakosa nafasi ya wazi ndani ya 18

Dakika ya 7 Namungo wanapata kona ya Kwanza wanaanza kona fupi

Dakika ya 5 Job anaanua majalo

Dakika ya 4 Lukas Kikoti anapeleka mashambulizi Yanga 


Dakika ya 3 Yanga wanapiga kona ya kwanza

SOMA NA HII  FT: YANGA 1-0 MTIBWA SUGAR