Home FA Cup SHIRIKISHO NI MWADUI V YANGA, SIMBA V DODOMA JIJI

SHIRIKISHO NI MWADUI V YANGA, SIMBA V DODOMA JIJI


 DROO ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho ambalo lipo mikononi mwa Simba imechezwa leo na ilikuwa mubashara AzamSports1HD.

Mbele ya vikapu alikuwepo Maalim Saleh na Hussein Sued ambao walikuwa wakichezesha droo hiyo na mambo yamekuwa namna hii:-

Simba v Dodoma Jiji

Rhino Rangers v Azam FC

Biashara United v Namungo FC

Mwadui FC v Yanga

Nusu fainali 

Mshindi wa mchezo wa Simba v Dodoma v mshindi wa mchezo kati ya Rhino v Azam FC.

Mshindi wa Biashara United v Namungo v mshindi wa mchezo kati ya Mwadui FC v Yanga

SOMA NA HII  NUSU FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO: BIASHARA UNITED 0-1 YANGA