Home Simba SC SIMBA WAWASILI MTWARA, KESHO KAZINI NA NAMUNGO

SIMBA WAWASILI MTWARA, KESHO KAZINI NA NAMUNGO


 KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes leo Mei 28 kimewasili Mtwara ili kuunganisha safari kuelekea Ruangwa. 

Kesho Mei 29 kina kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Namungo FC, mchezo wa Ligi Kuu Bara,

Ni mchezo wa kwanza kwa Namungo v Simba kumenyana ndani ya Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2020/21.

Miongoni mwa wachezaji ambao wapo kwenye kikosi hicho ni pamoja na Chris Mugalu, Meddie Kagere, Taddeo Lwanga.


SOMA NA HII  KOCHA WA TAIFA STARS...AWATAFUTA KAPOMBE NA TSHABALALA