Home Uncategorized VPL:YANGA 0-0 SIMBA

VPL:YANGA 0-0 SIMBA

Uwanja wa Taifa: Yanga 0-0 Simba
Kipindi cha kwanza

Dakika ya 26 Jonas Mkude anaonyeshwa kadi ya njano 
Dakika ya 22 Erasto Nyoni anakwenda nje anaingia Kened Juma 
Dakika ya 11 Nchimbi anafanya jaribio la pili linatoka nje ya lango

Mnata anafanya save moja matata kwa YangaYanga wameanza kwa kasi na Simba imeingia ndani ya 18 mara moja
Yanga imepiga kona moja na kuingia kwenye 18 ndani ya dakika mbili za mwanzo

SOMA NA HII  NYOTA MPYA YANGA:UZOEFU UTANIBEBA