Home news VIDEO: BALAA, KOCHA SIMBA ATISHIWA BASTOLA AFRIKA KUSINI

VIDEO: BALAA, KOCHA SIMBA ATISHIWA BASTOLA AFRIKA KUSINI


IMEELEZWA kuwa kocha msaidizi wa kikosi cha Simba, Seleman Matola alitishiwa bastola na vijana huko nchini Afrika Kusini alipokuwa kwenye manunuzi ya vitu kwa ajili ya wachezaji wake.


 Simba ilikuwa Afrika Kusini kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali ya kwanza na ilikubali kichapo cha mabao 4-0 na leo imerejea Bongo kwa ajili ya kufanya maandalizi ya mchezo wa marudio dhidi ya Kaizer Chiefs unaotarajiwa kuchezwa Mei 22.

 

SOMA NA HII  YULE STARIKA KUTOKA UGANDA ANAYELILIA KUSAJILIWA SIMBA....SAFARI HII KAJA NA HILI JIPYA...AENDELEA 'KUIKAUSHIA' KLABU YAKE...