Home Yanga SC VIDEO: DAUD YANGA APIGA HESABU KUSHTAKI KISA KUYEYUKA KWA MECHI YA SIMBA...

VIDEO: DAUD YANGA APIGA HESABU KUSHTAKI KISA KUYEYUKA KWA MECHI YA SIMBA V YANGA

DAUD Yanga, shabiki wa Yanga amesema kuwa kuyeyuka kwa mechi ya Simba na Yanga Mei 8 kulimsababisha ayeyushe jumla ya laki nne kutokana na kuwekeza gharama kubwa na mwisho wa siku waliambulia patupu na anahitaji alipwe pesa zake. 

 

SOMA NA HII  WAKATI WENZAKE WAKIWA 'BUSY' NA MECHI YA KESHO...MORRISON AJIPA JINA LA 'MR PANYA' ....