Home Simba SC VIDEO:-GOMES ATAJA SABABU YA KUSHINDWA KUTINGA NUSU FAINALI CAF

VIDEO:-GOMES ATAJA SABABU YA KUSHINDWA KUTINGA NUSU FAINALI CAF


DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wameshindwa kufuzu hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kutokana na makosa ambayo waliyafanya nchini Afrika Kusini kuruhusu ubao kusoma Kaizer Chiefs 4-0 Simba. Gomes amesema kuwa wachezaji wake mbele ya Kaizer Chiefs Uwanja wa Mkapa walipambana na walionyesha ari ya upambanaji

 

SOMA NA HII  CHAMA AGEUKA DHAHABU KWENYE MCHEZO WA SIMBA ZAMBIA