Home news VIDEO: HAYA HAPA MALENGO YA NDONDO CUP, ZAWADI NI MILIONI 20

VIDEO: HAYA HAPA MALENGO YA NDONDO CUP, ZAWADI NI MILIONI 20

MKAZUZU amesema kuwa malengo makubwa ya Ndondo Cup ni kuweza kuwasaidia vijana wenye vipaji ili waweze kupata nafasi katika mechi za Ligi Daraja la Kwanza, Ligi Kuu Bara pamoja na kuona namna gani vijana wanaweza kutimiza ndoto zao. Msimu huu Ndondo Cup zawadi yake ni milioni 20

 

SOMA NA HII  SAA CHACHE BAADA YA KUTAMBULISHWA YANGA...GUEDE KAIBUKA NA HILI JIPYA...