Home Simba SC VIDEO: NYOTA SIMBA QUEENS AFUNGUKIA KILICHO NYUMA YA MAFANIKIO

VIDEO: NYOTA SIMBA QUEENS AFUNGUKIA KILICHO NYUMA YA MAFANIKIO

NYOTA wa Simba Queens inayonolewa na Mussa Mgosi amesema kuwa maelekezo ambayo wanayapata kutoka kwa kocha mkuu pamoja na sapoti ni moja ya sababu inayowafanya waweze kufanya vizuri katika Ligi ya Wanawake Tanzania.

 

SOMA NA HII  MASHABIKI WARUHUSIWA KUINGIA SIMBA V KAIZERS CHIEFS, SIMBA KUOMBA WENGINE ZAIDI