Home video VIDEO: MASHABIKI WAMFUATA DUBE SONGEA, ZOEZI LA PICHA LIKAFUATA

VIDEO: MASHABIKI WAMFUATA DUBE SONGEA, ZOEZI LA PICHA LIKAFUATA

214
0

PRINCE Dube leo Juni 26 alikuwa Uwanja wa Majimaji, Songea akishuhudia mchezo wa nusu fainali uliowakutanisha Azam FC dhidi ya Simba na kushuhudia timu yake ikipoteza kwa kufungwa bao 1-0. Akiwa jukwaani mashabiki walimfuata na kuanza kupiga naye picha za ukumbusho kinara huyo wa mabao ndani ya ligi kwa Azam FC akiwa na mabao 14.