Home Yanga SC MANJI NDANI YA MKUTANO WA YANGA LEO JUNI 27

MANJI NDANI YA MKUTANO WA YANGA LEO JUNI 27

 


YUSUPH Manji aliyekuwa Mwenyekiti wa Yanga leo Juni 27 ni miongoni mwa waliohudhuria mkutano wa wa Yanga.


Manji alipata nafasi ya kusalimiana na Mwenyekiti wa Yanga kwa sasa ndugu Mshindo Msolla pia alipata fursa ya kuwasalimia mashabiki wa Yanga.


Mkutano wa leo Juni 27 unatarajiwa kuwa na ajenda 13 na utakamilika saa 8:00.

Mkutano unafanyika Kwenye ukumbi wa DYCCC, Chang’ombe, Dar kuanzia saa 4:00 asubuhi huku ajenda kubwa ikiwa ni kuelekea kwenye Kwenye wa mabadiliko.

SOMA NA HII  UONGOZI WA YANGA WAWAFARIJI WAATHIRIKA WA MAFURIKO HANANG......RAIS WA YANGA AFANYA HIVI