Home video VIDEO: BERNARD MORRISON AIWEKA KANDO YANGA

VIDEO: BERNARD MORRISON AIWEKA KANDO YANGA


BAADA ya Simba kushinda jana Juni 22 mbele ya Mbeya City kwa mabao 4-1 kiungo mshambuliaji Bernard Morrison amesema kuwa kwa sasa wanaanza kujiandaa kwa ajili ya mchezo wao ujao dhidi ya Azam FC. Mchezo huo ni wa Kombe la Shirikisho hatua ya nusu fainali huku akiweka kando suala la Yanga kwa kueleza kuwa muda wake bado.

 

SOMA NA HII  VIDEO: SIMBA ULAYA AWAPIGA MKWARA YANGA, WACHEZAJI YANGA WADAIA KUJIANGUSHA